Contest - kyaloalbert (by kyaloalbert) Statistiques en bref
|
|
|
Contest - kyaloalbert Discussion
| Souscrire à ce sujet | Précédent 1 2 Suivant |
|
Membre depuis Sep 04, 2011 22 messages
ezis
Feb 08 2012 at 17:09
(édité à Feb 08 2012 at 17:11 )
Wow 125.00 Lots in work.
You are shorly going for nummber one spot!
|
|
|
Membre depuis Mar 28, 2011 9 messages
PeaceFX (alikizami151)
Feb 09 2012 at 19:49
Vp bwana Kyalo?
Bro umenisurprise hivi kuna jamaa wa kenya anatrade forex... Nimefurahishwa na position ambyo uko keep it up jibidishe upate nafasi 3 bora. kwani watrade manual ama watumia robot? Ahsante |
|
|
Membre depuis Sep 16, 2009 69 messages
Osiris (kebayamwamba)
Feb 09 2012 at 19:56
kutrade hivi mtu ana hitaji $50000 bure kwa account - sithani ni manual kwa maana trades zinalast 14s zingine...hata hivyo bwana albert hongera sana..
the pursuit of wealth |
|
|
Membre depuis Mar 28, 2011 9 messages
PeaceFX (alikizami151)
Feb 09 2012 at 20:09
(édité à Feb 09 2012 at 20:15 )
Dah! simaanishi kipesa bro hata kama ni $500 angekua ametengeza faida ya $2425 kwa mda wa siku 11. Kyalo mpaka sasa amekuza account yake kwa 485%.
Kyalo na Kebaya nafurahi sana kuwakuta kwenye ulimwengu wa Forex trade, je? mumewahi kusikia au kuona mtu unaemjua amefaidika kwa Forex trade? maana nashindwa hivi ni kweli kuna watu wanaishi kwa kutrade? Nijuzeni jamani yoyote anaejua hii lugha hasa wakenya, waTZ na waUG. |
|
|
Membre depuis Sep 16, 2009 69 messages
Osiris (kebayamwamba)
Feb 09 2012 at 20:38
ndugu biashara ya forex ni murwa sana..imejenga maisha yangu vizuri sana..usife moyo bwana - jipeleke pole pole...trade consistently na utakuwa vyema sana. asante
the pursuit of wealth |
|
|
|
Membre depuis Jan 30, 2012 4 messages
kyaloalbert
Feb 09 2012 at 20:51
@Ezis, thanks. I usually run them manually after watching my chat.@Peace, Me Mkenya na bado niko Chuo kikuu. Natumia manual lakini nimehakikisha kwamba kila retracement inanipata na nikiachwa, basi sifuatilii kwani bahati pia keshoye. @Kebaya Mwamba, natumia manual, ukiona trade inalast less than 1minute ni tym market volatility hiko juu zaidi. @Peace, sijawahi mwona lakini namjua kwa njia ya mtandao na simu. Alianza mwaka wa 2007 na sasa anakwakwe na bado hajaolewa hila yeye utengeneza pesa mingi sana kwa fx
|
|
|
Membre depuis Apr 09, 2010 12 messages
laurenti chaacha mohochi (Mtupienga)
Feb 10 2012 at 06:44
Kazi Nzuri.
Perfectio is attained after perrenial failure and the experiences acrrued over time |
|
|
|
Membre depuis Jan 30, 2012 4 messages
kyaloalbert
Feb 10 2012 at 08:16
kebayamwamba posted: ndugu biashara ya forex ni murwa sana..imejenga maisha yangu vizuri sana..usife moyo bwana - jipeleke pole pole...trade consistently na utakuwa vyema sana. asante Shukrani Ndungu.Mawaidha yatujenga sana maishani. Sasa naona maisha yakiwa murwa kwa vili nikitaka pesa za kujitimu kimaisha na open a buy order na maisha yanaendelea |
|
|
|
Membre depuis Jan 30, 2012 4 messages
kyaloalbert
Feb 10 2012 at 09:36
kebayamwamba posted: kutrade hivi mtu ana hitaji $50000 bure kwa account - sithani ni manual kwa maana trades zinalast 14s zingine...hata hivyo bwana albert hongera sana.. Shukrani |
|
|
Membre depuis Sep 16, 2009 69 messages
Osiris (kebayamwamba)
Feb 10 2012 at 09:42
@kyaloalbert asante naelewa sasa. Nikonyuma kiasi - wakati kinyanyiro ilianza default ilikuwa 1 lot , juzi ndio kapienga alinielezea kuwa mtu anaweza cheza na 20 lots. shukran ndugu pigiania hiyo top 3..uko na baraka ya wakenya wote :)
the pursuit of wealth |
| Souscrire à ce sujet | Précédent 1 2 Suivant |

Share