要使用聊天,请登录。

Contest - kyaloalbert (由 Princefx )

收益 : -62.11%
缩减 95.38%
点: 1253.4
交易 699
赢得:
损失:。
类型: 演示
杠杆率: 1:100
交易: 未知

Contest - kyaloalbert讨论

ezis
Feb 08 2012 at 17:09
22帖子
Wow 125.00 Lots in work.
You are shorly going for nummber one spot! 😂

PeaceFX (alikizami151)
Feb 09 2012 at 19:49
9帖子
Vp bwana Kyalo?

Bro umenisurprise hivi kuna jamaa wa kenya anatrade forex... Nimefurahishwa na position ambyo uko keep it up jibidishe upate nafasi 3 bora. kwani watrade manual ama watumia robot? Ahsante

Osiris (kebayamwamba)
Feb 09 2012 at 19:56
116帖子
kutrade hivi mtu ana hitaji $50000 bure kwa account - sithani ni manual kwa maana trades zinalast 14s zingine...hata hivyo bwana albert hongera sana..

can the pursuit of wealth be automated?
PeaceFX (alikizami151)
Feb 09 2012 at 20:09
9帖子
Dah! simaanishi kipesa bro hata kama ni $500 angekua ametengeza faida ya $2425 kwa mda wa siku 11. Kyalo mpaka sasa amekuza account yake kwa 485%.

Kyalo na Kebaya nafurahi sana kuwakuta kwenye ulimwengu wa Forex trade, je? mumewahi kusikia au kuona mtu unaemjua amefaidika kwa Forex trade? maana nashindwa hivi ni kweli kuna watu wanaishi kwa kutrade? Nijuzeni jamani yoyote anaejua hii lugha hasa wakenya, waTZ na waUG.

Osiris (kebayamwamba)
Feb 09 2012 at 20:38
116帖子
ndugu biashara ya forex ni murwa sana..imejenga maisha yangu vizuri sana..usife moyo bwana - jipeleke pole pole...trade consistently na utakuwa vyema sana. asante

can the pursuit of wealth be automated?
Princefx (kyaloalbert)
Feb 09 2012 at 20:51
4帖子
@Ezis, thanks. I usually run them manually after watching my [email protected], Me Mkenya na bado niko Chuo kikuu. Natumia manual lakini nimehakikisha kwamba kila retracement inanipata na nikiachwa, basi sifuatilii kwani bahati pia keshoye. @Kebaya Mwamba, natumia manual, ukiona trade inalast less than 1minute ni tym market volatility hiko juu zaidi. @Peace, sijawahi mwona lakini namjua kwa njia ya mtandao na simu. Alianza mwaka wa 2007 na sasa anakwakwe na bado hajaolewa hila yeye utengeneza pesa mingi sana kwa fx

Money never sleeps
laurenti chaacha mohochi
Mtupienga
Feb 10 2012 at 06:44
15帖子
Princefx (kyaloalbert)
Feb 10 2012 at 08:16
4帖子

   kebayamwamba posted:
   ndugu biashara ya forex ni murwa sana..imejenga maisha yangu vizuri sana..usife moyo bwana - jipeleke pole pole...trade consistently na utakuwa vyema sana. asante

Shukrani Ndungu.Mawaidha yatujenga sana maishani. Sasa naona maisha yakiwa murwa kwa vili nikitaka pesa za kujitimu kimaisha na open a buy order na maisha yanaendelea

Money never sleeps
Princefx (kyaloalbert)
Feb 10 2012 at 09:36
4帖子

   kebayamwamba posted:
   kutrade hivi mtu ana hitaji $50000 bure kwa account - sithani ni manual kwa maana trades zinalast 14s zingine...hata hivyo bwana albert hongera sana..

Shukrani

Money never sleeps
Osiris (kebayamwamba)
Feb 10 2012 at 09:42
116帖子
@kyaloalbert asante naelewa sasa. Nikonyuma kiasi - wakati kinyanyiro ilianza default ilikuwa 1 lot , juzi ndio kapienga alinielezea kuwa mtu anaweza cheza na 20 lots. shukran ndugu pigiania hiyo top 3..uko na baraka ya wakenya wote :)

can the pursuit of wealth be automated?
PeaceFX (alikizami151)
Feb 10 2012 at 10:54
9帖子

   kebayamwamba posted:
   ndugu biashara ya forex ni murwa sana..imejenga maisha yangu vizuri sana..usife moyo bwana - jipeleke pole pole...trade consistently na utakuwa vyema sana. asante


Asante sana kwa majibu ya kitia moyo. je, unaweza kushare systems unazozitumia kwa forex? Tafadhali sana ikiwa hutojali.

McFx (mcmudah)
Feb 13 2012 at 20:18
5帖子
Shukrani sana bwana Kyalo kwa kupepea bandera ya Kenya, tia bidii upate nafasi bora. vile Kebaya(@armchairtycoon-tafadhali umfuate kwenye twitter kama haujafanya hivyo) amekuambia trade kama hizi hautaweza kufanya kwa live a/c juu hio itakuwa balaa, lakini kwa ajili ya kushinda na ni demo endelea hivyo.Tunaweza kutana Nairobi tupashane vile hii manbo ya forex inaendelea.Itakuwa poa vijana wengi wakijitosha kwenye hii ulingo wa forex.

I am trading my way to billions coz I am disciplined
Cayrema Forex
Daforexguru
Jul 27 2012 at 09:23
1帖子
Yaonekana kama mawasiliano yalikoma hapa.

Princefx (kyaloalbert)
Jul 27 2012 at 12:25
4帖子
Bado tuko brother, siku hizi tuko twitter ama fb

Money never sleeps
请登录以发表评论。