Contest - kyaloalbert (โดย Princefx )
กำไร : | -62.11% |
ขาดทุนสะสม | 95.38% |
pips: | 1253.4 |
การเทรด | 699 |
ได้กำไร : |
|
ขาดทุน : |
|
ประเภท : | เดโม |
เลเวอเรจ: | 1:100 |
การเทรด : | ไม่ทราบ |
|
Wow 125.00 Lots in work.
You are shorly going for nummber one spot! 😂
You are shorly going for nummber one spot! 😂
Vp bwana Kyalo?
Bro umenisurprise hivi kuna jamaa wa kenya anatrade forex... Nimefurahishwa na position ambyo uko keep it up jibidishe upate nafasi 3 bora. kwani watrade manual ama watumia robot? Ahsante
Bro umenisurprise hivi kuna jamaa wa kenya anatrade forex... Nimefurahishwa na position ambyo uko keep it up jibidishe upate nafasi 3 bora. kwani watrade manual ama watumia robot? Ahsante
kutrade hivi mtu ana hitaji $50000 bure kwa account - sithani ni manual kwa maana trades zinalast 14s zingine...hata hivyo bwana albert hongera sana..
can the pursuit of wealth be automated?
Dah! simaanishi kipesa bro hata kama ni $500 angekua ametengeza faida ya $2425 kwa mda wa siku 11. Kyalo mpaka sasa amekuza account yake kwa 485%.
Kyalo na Kebaya nafurahi sana kuwakuta kwenye ulimwengu wa Forex trade, je? mumewahi kusikia au kuona mtu unaemjua amefaidika kwa Forex trade? maana nashindwa hivi ni kweli kuna watu wanaishi kwa kutrade? Nijuzeni jamani yoyote anaejua hii lugha hasa wakenya, waTZ na waUG.

ndugu biashara ya forex ni murwa sana..imejenga maisha yangu vizuri sana..usife moyo bwana - jipeleke pole pole...trade consistently na utakuwa vyema sana. asante
can the pursuit of wealth be automated?
@Ezis, thanks. I usually run them manually after watching my [email protected], Me Mkenya na bado niko Chuo kikuu. Natumia manual lakini nimehakikisha kwamba kila retracement inanipata na nikiachwa, basi sifuatilii kwani bahati pia keshoye. @Kebaya Mwamba, natumia manual, ukiona trade inalast less than 1minute ni tym market volatility hiko juu zaidi. @Peace, sijawahi mwona lakini namjua kwa njia ya mtandao na simu. Alianza mwaka wa 2007 na sasa anakwakwe na bado hajaolewa hila yeye utengeneza pesa mingi sana kwa fx
Money never sleeps

Feb 10 2012 at 06:44
Kazi Nzuri.😎
Shukrani Ndungu.Mawaidha yatujenga sana maishani. Sasa naona maisha yakiwa murwa kwa vili nikitaka pesa za kujitimu kimaisha na open a buy order na maisha yanaendelea
kebayamwamba posted:
ndugu biashara ya forex ni murwa sana..imejenga maisha yangu vizuri sana..usife moyo bwana - jipeleke pole pole...trade consistently na utakuwa vyema sana. asante
Money never sleeps
Shukrani
kebayamwamba posted:
kutrade hivi mtu ana hitaji $50000 bure kwa account - sithani ni manual kwa maana trades zinalast 14s zingine...hata hivyo bwana albert hongera sana..
Money never sleeps
@kyaloalbert asante naelewa sasa. Nikonyuma kiasi - wakati kinyanyiro ilianza default ilikuwa 1 lot , juzi ndio kapienga alinielezea kuwa mtu anaweza cheza na 20 lots. shukran ndugu pigiania hiyo top 3..uko na baraka ya wakenya wote :)
can the pursuit of wealth be automated?
kebayamwamba posted:
ndugu biashara ya forex ni murwa sana..imejenga maisha yangu vizuri sana..usife moyo bwana - jipeleke pole pole...trade consistently na utakuwa vyema sana. asante
Asante sana kwa majibu ya kitia moyo. je, unaweza kushare systems unazozitumia kwa forex? Tafadhali sana ikiwa hutojali.
Shukrani sana bwana Kyalo kwa kupepea bandera ya Kenya, tia bidii upate nafasi bora. vile Kebaya(@armchairtycoon-tafadhali umfuate kwenye twitter kama haujafanya hivyo) amekuambia trade kama hizi hautaweza kufanya kwa live a/c juu hio itakuwa balaa, lakini kwa ajili ya kushinda na ni demo endelea hivyo.Tunaweza kutana Nairobi tupashane vile hii manbo ya forex inaendelea.Itakuwa poa vijana wengi wakijitosha kwenye hii ulingo wa forex.
I am trading my way to billions coz I am disciplined

Jul 27 2012 at 09:23
Yaonekana kama mawasiliano yalikoma hapa.
โปรดเข้าสู่ระบบเพื่อแสดงความคิดเห็น