Advertisement
alikizami151动态

forex_trader_34030
Jul 27, 2012 at 09:26
Alikizami, umeshikilia forex bado?

kyaloalbert
Feb 09, 2012 at 20:21
Wanaume wenzangu, Niombeeni sana kwa vile muda wote nimekuwa kwa hii biashara mimi hujaribu atleast kuwa nafasi ya kumi bora. Lakini ni asure nyote kuwa nafasi ya kwanza hadi ya tatu itamwendea mmoja kati ya sisi waongea kiswahili. Na trade manual, sina robot lakini nafurahia manual sana kwa vile charts ndizo zinanikeep gainining

Daforexguru
Jul 27, 2012 at 09:24
Vipi Kyalo. Bado unaendelea kutrade?